
Waendesha mashua wakishindana katika mashindano ya mashua ziendazo kasi ya Vodacom Tanzacat 2009 yaliyomalizika jana Yacht Club jijini Dar es Salaam.

Afisa habari wa Vodacom Matina Nkurlu wa pili (kushoto) akisoma jarida huku akifuatilia mashindano ya mbio za Mashua za Vodacom Tanzacat zilizofanyika katika Bahari ya Hindi maeneo ya Yacht Club yalidhaminiwa na Vodacom Tanzania kulia ni Mhariri wa michezo wa Channel Ten Peter Shadrack.
No comments:
Post a Comment