Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 23, 2009

Mbio za Mashua za Vodacom Tanzacat Zilivyotimua Mawimbi Katika Bahari Ya Hindi

Waendesha mashua wakishindana katika mashindano ya mashua ziendazo kasi ya Vodacom Tanzacat 2009 yaliyomalizika jana Yacht Club jijini Dar es Salaam.

Afisa habari wa Vodacom Matina Nkurlu wa pili (kushoto) akisoma jarida huku akifuatilia mashindano ya mbio za Mashua za Vodacom Tanzacat zilizofanyika katika Bahari ya Hindi maeneo ya Yacht Club yalidhaminiwa na Vodacom Tanzania kulia ni Mhariri wa michezo wa Channel Ten Peter Shadrack.

No comments: