
Timu ya Idara ya Mahusiano ya Vodacom (Public Relations) ambayo inajiandaa kutoa toleo la pili la Vodaworld Magazine katika picha ya pamoja. (Matina Nkurlu, Mwamy Mlangwa na Kilasa Mtambalike).

Waandaaji wa Jarida La Vodaworld ( Mwamy Mlangwa na Kilasa Mtambalike).
Soma zaidi...

Mkuu wa idara ya Mahusiano na Huduma za Jamii wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa ofisini akijiandaa kwa ajili ya toleo la pili la Vodaworld Magazine.
..
Vodaworld ni jarida linalotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania na kusambazwa bure. Jarida hili, linalenga kuelimisha jamii juu ya shughuli za kampuni hii ya simu za mkononi, pamoja na shughuli za wadau wake mbalimbali na Taifa kwa ujumla. Toleo la kwanza lilizinduliwa tarehe 1 July 2009 na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi Na Teknolojia Ndg Zaipuna Yonah.
3 comments:
Tunalisubiri tulione.
na admit pictures ni colorful kweli, kamera ya pwanirah ni mupya nini?
na admit pictures ni colorful kweli, kamera ya pwanirah ni mupya nini?
Post a Comment