Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

August 24, 2009

Bendi ya Extra Bongo

Rais wa bendi ya Extra bongo Khadija Mnoga katikati akiwa na watangazaji
machachari hapa nchini Kulia ni Maimatha wa East Africa Television (EATV Channel 5) na Saida Mwalima wa Star TV wakati wa onyesho la utambulisho wa bendi hiyo.

Wanenguaji wa bendi ya Extra bongo wakionyesha umahiri wao wakati wa
utambulisho wa bendi hiyo jana usiku katika ukumbi wa msasanio club.


Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki akiimba wakati wa utambulisho wa bendi hiyo.


Wanguaji wakiwa ofisini kwao.


Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki akiwa na Rais wa bendi hiyo
Khadija Mnoga "Kimobiteli" wakiimba wakati wa utambulisho wa bendi hiyo.