
Mmoja wa wazee Mussa Mgeni akionyesha hundi yake yenye thamani ya shilingi 168,000 alizolipwa kama fidia kutokana na nyumba yake kuathilika na mabomu hata hivyo mzee huyo asiyeweza kutembea ana umri wa miaka 76 alilia sana kutokana na kuwa nyumba yake ilikuwa ya gharama zaidi ya hiyo pesa aliyopewa.

Mchakato wa kulipwa.

Jinsi walipwaji wanavyohakikiwa.

Wahanga wengine wakisubiri zamu zao.
No comments:
Post a Comment