
Wanamitindo wa Ally Remtulla wakiwa katika uzindu wa Voda World Magazine jana huko Sea Cliff.

Mwanamitindo huyu akionyesha jinsi nguo ilivyomkaa vizuri, au labda anaonyesha umbo lake.

Nguo hizi zilikuwa za design moja sasa sijui mantiki yao walikuwa wanaonyesha jinsi nguo aina moja inavyowakaa watu wenye maumbo tofauti.

Kwa uelewa wangu mdogo wa mitindo huwa naona kuwa wanamitindo wakipozi na nguo, huwa wanaonyesha jinsi gani nguo ilivyowakaa na hiyo ndio kama marketing kwa upande wao. Yani wana-display nguo mwilini mwao. Sasa ukichukua wanamitindo watatu ukawavisha nguo aina moja sijui mantiki ilikuwa nini. Mimi si nguli wa mitindo, I stand to be corrected.
No comments:
Post a Comment