
Uzinduzi wa five star modern taarab katika ukumbi wa Msasani club.

Pichani ni Mlezi wa Umoja wa vijana CCM Abdul Ntegete kulia pamoja na Joha Kassimu.

Mashabiki wakijimwaya ukumbini "oh sorry uwanjani" (Msasani club sio ukumbi ni uwanja).

Style ya uimbaji taarab waimbaji hukaa wanapoimba.

Huyu mbele ni mpiga bezi wa bendi hiyo na nyuma yake ni Kipanga Bindu mpiga solo. (Yote haya ni magitaa tofauti ni moja lina nyuzi nne "bass" na jengine lina nyuzi sita "solo").
Soma zaidi......

Mpiga bezi Omary amepandwa na mzuka.

Zena Mohamed

Issa Kamongo.

Husna Mapunda.

Mlezi wa umoja wa vijana CCM akipiga picha na mpiga kinanda wa bendi hiyo.
No comments:
Post a Comment