Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 13, 2009

Kumbe Obama yumo.

Hapa rais Obama anaonekana akiangalia makalio ya huyu dada mwenye nguo nyekundu, huku rais wa Ufaransa Sarkozy akipiga tabasamu la kumuona bwana mkubwa alivyozenguliwa.



Video hii inaonyesha ukweli kuwa rais Obama alikuwa haangalii makalio ya hule dada alikuwa anangalia sehemu nyingine tofauti. Ile picha imepigwa kwenye angle anayoonyesha kanakwamba anamuangalia binti makalio yake, kumbe sivyo. Obama anabahati kwa kuwa kulikuwa na camare nyingi ambazo zimeonyesha ukweli maana sijui angemuambia nini Michelle jioni.

Ni wazi kuwa rais Obama ana tabia nzuri; cheki hapa huyu dada alivyoinama Obama wala hana habari lakini bwana Sarkozy na mwenzake duh kiboko.

1 comment:

Nautiakasi said...

Ha ha ha ha ha ha...! Mbavu zangu!
Dah lakini vijitu vifupi ndo kawaida yao vinakuwa vikware kweli...!