
Athumani Shabani ambaye ni mfanyabiashara ya nyama katika soko la Buguruni akikata nyama kwa ajili ya kumhudumia mteja wake. Hivi sasa vyama imepanda bei kiasi cha kuwafanya walaji kushindwa kumudu, kilo moja ya ni 3800 hadi 4000. Athumani amelalamikia mamlaka husika kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei.

Butcher zetu Bongo zina majina ya ajabu.
No comments:
Post a Comment