
Baadhi ya washiriki wa Miss Kinondoni wakionyesha vipajivyoa wakati wa shindano la kutafuta vipaji (talent show) iliyofanyika katika ukumbi wa New Africa Hotel. Jumla ya washiriki 13 watapambana mnamo tarehe 30 julai katika ukumbi wa Mlimani City kumtafuta Miss Kinondoni.

Mtoto tumbo hana.

Hii ni shindano la kuonyesha nani ana tumbo dogo au.


Talent ya mugongo mugongo pia mamiss wamo.

Mmhh ni slim fit no kitambi inabidi mazoezi kuwacha kula ni kugumu.

Miss Tanzania 2007 Richa Adhia.
2 comments:
Hapa sipati Mke Kweli?:-)
Simon hapa unapata mke mrembo na mwenye akili "beauty and brains".
Post a Comment