
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Vodacom Ephraim Mafuru akizungumzia huduma ya kulipia maji kwa kutumia huduma ya simu ya mkononi M-Pesa wakati wa uzinduzi uliofanyika katika ofisi za Dawasco jana.waliokaa katika ni Mkurugenzi wa biashara wa Dawasco Raymond Mndolwa na Meneja mfomo habari Shabani Salum.

Mkurugenzi wa biashara wa Dawasco (kushoto) Raymond Mndolwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru (kushoto) wakikabiziana wa wakizindua huduma ya kulipia bili za maji kupitia simu za mkononi kwa njia ya huduma ya M-pesa uliofanyika Makao Makuu ya Dawasco (katikati) Meneja habari wa Dawasco Shabani Salum.
No comments:
Post a Comment