Wavuvi takriban 35 wa meli iliyokuwa ikivua samaki Tanzania bila kibali walifikishwa mahakamani jana kusomewa mashtaka.
Baada ya kusomewa mashtaka yao walirudishwa rumande kwa kukosa dhamana. Hivi mimi nauliza kosa la hawa nini haswa ni nini. Maana hawa ni wafanyikazi tu, hivi mtu akiajiriwa sehemu lazima amuulize mwenye kampuni kama ana kibali au la. Hawa wavuvi alipoajiriwa walifurahi sana na wakaanza kazi, kumuuliza muajiri wako kibali ni kama kujitakia matatizo. Mfanyikazi mwenye fursa ya kujua kinachoendelea ni Captain wa Meli husika, wengine wanafuata mkondo.
No comments:
Post a Comment