Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

March 19, 2009

UZINDUZI WA MISS TANZANIA 2009

Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom George Rwehumbiza akiongea jambo wakati wa uzinduzi wa Miss Tanzania katikati ni Nasreem Karim Miss Tanzania 2008,na kushoto kabisa ni Necta Foye Meneja Mawasiliano wa Vodacom.

Katikati ni Hashim Lundenga mmiliki wa Lino Company Agency kampuni inayoandaa mashindano ya Miss Tanzania kila mwaka.

Nasreem Karim Miss Tanzania 2008 jinsi alivyokuwa amevaa jana.

Mambo ya buffet kama vile naona chips pembeni mwa sahani ya Nasreem.

Sherehe hiyo ya uzinduzi wa kamati ya Miss Tanzania 2009 ambayo iliwashirikisha wadau wa urembo hapa nchini ilifanyika jana usiku katika Hotel ya Regency iliyopo Mikocheni. Mwaka jana Vodacom ilitoa udhamini ambao ulighalimu kiasi cha shilingi milioni 600.

3 comments:

Francesca Romana ALEGI said...

hello: it is a pity that i don't know swahili and so I can't understand what is written. I passed from here only to tell you, that I love Africa and most of all Tanzania
big kiss from
MUZUNGU MALAIKA
Italy
rome

pwaniraha said...

We are gratified profusely please and you are welcomed.

Anonymous said...

Jamani huyu msichana ni mzuri kumbe ana bonga la figure.