Nilipokuwa katika pitapita zangu niliona kijana amesimamishwa na polisi wa doria wa pikipiki.
Hapa ni maeneo ya Mwenge Kijijini, polisi walikuwa wanadhani kuwa gari nimeibiwa kumbe sio.
Ukiwa kijana na unaendesha gari ambalo hujafanana nalo, basi matatizo kama haya yanaweza kukupata. Kijana huyu aliwa rough kidogo lakini watu husema (looks are deceiving you better care; dont just judge a book by its cover).
No comments:
Post a Comment