
Mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika Leaders Club. Jana ilikuwa ni Fainali za mashindano ya Safari Nyama choma yaliyoandaliwa na Kampuni ya Bia Tanzania. Bar zilizoshiriki ni kama ifuatavyo Titanic bar, Africa Center bar, Nguruko bar, Rednand bar na First Aid bar. Katika shindano hilo bar ya Nguruko iliibuka mshindi wa Safari Nyama Choma mwaka 2009, na kujinyakulia kiasi cha shilingi za Kitanzania milioni moja. Picha ya wanaochoma nyama ni wafanyakazi wa bar ya Nguruko (Mbezi Beach) ambao waliibuka washindi kwa kuchaoma nyama vizuri.

Burudani kama kawa ilikuwepo Leaders Club hapo jana.

Mugongo mugongo.

Mashabiki kando waliuwa wakicheza mduara flani wakiaina.
1 comment:
Halo Halooooo
Post a Comment