
Wanamuziki ambao walikuwa wakiunda kundi la muziki wa dansi la muchinga sound lililokuwa likiongozwa na Adolf Mbinga kesho jioni katika ukumbi wa vaticani city uliopo sinza wataikumbuka bendi hiyo ikiwa nim pamoja na kumpa pole aliyekuwa mmiliki wa bendi hiyo Mh Mudhihiri Mudhihiri ambaye alikatika mkono kwa ajari ya gari wakati alipokuwa ikielekea jimboni kwake.

Muumini Mwijuma pia aliwahikuwa katika bendi hiyo.

Bendi hiyo iliundwa na Adolf Mbinga ,Prince Mwumini Juma, Mashaka Karunde, nk kesho watakaumbuka enzi zao.

Kulia ni Deo Mwanambilimbi akiwa na Adolph Mbinga.

Wanenguaji wanaonyesha jinsi watakavyofanya vitu vyao leo hapo Vatican Sinza. Hawa hapa kuanzia kushoto ni Amina Rusha Roho, Grace Kiza Kinene na Queen Vero.
3 comments:
Looks like you guys are having lots of fun.
Mambo ya kawaida ya weekend haya.
I would like to exchange links with your site www.blogger.com
Is this possible?
Post a Comment