
Mwizi akiwa hoi amelala anajifanya amekufa, watu waliokuwa wakimpiga wakaanza kupotea mmoja baada ya mwengine kuepuka ushahidi. Mwizi huyu aliiba hereni za dhahabu maeneo ya Magomeni mapipa. Imekuwa mtindo wa wezi kutegea abiria wa daladala, pindi inakuwa imesimama wananyakuwa simu, hereni au cheni kupitia dirisha.

Mwizi alipoona watu wenye hasira hawapo akaenuka mdogo mdogo.

Walioshudia hawakuamini macho yao maana walijua kuwa mwizi amekufa.

Huyu braza hapa naye akawa anatafuta umaarufu kwa kumtwanga na jiwe jengine.

Mwizi ndio anaenda zake hivyo, watu hawaamni kuwa baada kipigo alichopata kama angesimama.
2 comments:
safi sana hawandio wanaokuibia vitu vyetu.
ingekuwa hapa Kenya Nairobi angepigwa hadi kufa baadaye achomwe(burning
Post a Comment