Pichani ni picha ya marehemu Rehema Mwakangale. Merehemu alikuwa mtangazaji wa ITV, alifariki tarehe 3 March 2009 katika hospitali ya Mission Mikocheni kwa tatizo la pumu.
Hii ndio Nyumba ya milele ya dada yetu mpendwa Marehemu Rehema Mwakangale
Mwili wa Marehemu ukiombewa.
Ndungu wa karibu wa marehemu.
Mwili wa Marehemu Rehema Mwakangale ukifikia safari yake ya mwisho.
Mwenyekiti wa kampuni ya IPP Media bw. Reginald Mengi akiweka mchana katika kaburi la Marehemu kuashiria binadamu tumetoka kwenye vumbi tutarudi kwenye vumbi.
Mamia ya watu walihudhuria kwenye mazishi ya Marehemu Rehema Mwakangale jana.
Kushoto kabisa ni Mbunge wa Ilala Mh Mussa Azan Zungu akifuatiwa na Reginald Mengi.
No comments:
Post a Comment