Mkuu wa Mkoa wa Pwani DK ,Christina Ishengoma,akikata utepe kuashiria kuzindua madarasa matatu yaliyotolewa na Kampuni ya Vodacom ya shure ya Sekondari ya Ubena Samonzi,ambayo yanathamni ya shilingi milioni 52.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wamejikinga mvua katika madarasa yaliyojengwa na Vodacom wakati wa uzinduzi.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani DK Christina Ishengoma (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea madarasa 3 ya Sekondari ya Ubena Samonzi ambayo yanathamani ya shilingi milioni 52 toka kwa Kambuni ya Vodacom. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo. Kushoto kabisa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Dietof Mare na pembeni yake ni Mkuu wa kitengo cha VodaFOUNDATION Mwamvita Makamba.
Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Mwamvita Makamba.
Vodacom kupitia mfuko wake wa Voda Foundition umekabidhi msaada wa madarasa matatu ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia jamii katika nyanja mbalimbali hapa nchini. Kwa niaba ya serikali Mkuu wa mkoa wa pwani alisema madarasa haya matatu yatasaidia kufanikisha wanafunzi wengi waendelee kusoma katika sehemu nzuri na tulivu. Shule hiyo inawanfunzi 600 na ilikuwa na madarasa matano tu jambo lililowafanya wanafunzi kusima.Naye Mkuu wa Kitengo cha Voda Foundition Mwamvita Makamba alisema kuwa kitengo chake kitaendelea kutoa msaada kwa jamiii ya Tanzania ili wananchi wanufaike na Mtandao huo kwani lengo kubwa ni kusaidia watanzania wote.
















1 comment:
jordans
louboutin
vans outlet
lebron 17 shoes
lebron 17
air yeezy
yeezy boost 350
kyrie 6 shoes
lebron 16
balenciaga
Post a Comment