
Muuza madafu katika jiji la Dar es Salaam, akijipumzisha katika viwanja vya Mnazi Mmoja huku akijipongeza na madafu yake mwenyewe.

Mfanyabiashara ya Senene akipanga vizuri bidhaa yake katika soko la maonyesho la Mwalimu Nyerere maarufu kama Sabasaba, senene hao hutoka katika mkoa wa Kagera ambao kwa sasa wameshamiri katika jiji la Dar es Salaam bei yake pia iko juu.
No comments:
Post a Comment