Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 18, 2009

TAIFA STARS KUONDOKA KESHO

Imani Kajura akiongea na waandishi wa habari

Kutoka Kushoto ni Imani Kajura Meneja wa masoko NMB, Shadrack Nsajigwa captain wa Taifa Stars, anayefuata ni Teddy Mapunda Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweries na kulia kabisa ni Fredrick Mwakalibela katibu wa TFF.


Shadrack Nsajigwa captain wa Taifa Stars pamoja na wafanyikazi wa kampuni za NMB na Serengeti Breweries ambao ni wadhamini wa timu ya Taifa wakashikilia viatu vya mpira (njumu).

NMB pamoja na Serengeti Breweries wamedhamini Taifa Stars vifaa vyenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni 35 kwa ajili ya michuano ya Chan itakayo fanyika huko Ivory Coast.


Captain huyu akionyesha vifaa vya mpira walivyodhaminiwa.

Zawadi nyengine kwa wachezaji hiyo hapo inafunguliwa.

Jamani shuti hii ni mpya shio ya mchina inatoka Italy

Timu ya Taifa Stars inatarajiwa kuondoka kesho saa mbili asubuhi kuelekea Ivory Coast huku wachezaji wakiwa wamevafaa hivi. Taifa Stars itacheza mechi yake ya kwanza jumapili ambapo watapambana na Senegal.

1 comment:

Simon Kitururu said...

kila la kheri Taifa Stars!