Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 19, 2009

UNIVERSAL CHARGER BY 2012 (MWAKA 2012 KUTAKUWA NA CHAJA AINA MOJA TU YA SIMU)

Mchina aleast anatujali, walibuni charger ya aina hii hapa inatumia solar na pia inauwezo wa kuchaji simu nyingi.
Hivi majuzi baadhi ya kampuni za kutengeneza simu zimekubaliana kuundwa kwa charger moja ambayo inaweza kuchaji simu zote zile zitakazo tengenezwa ifakapo mwaka 2012. Charger hiyo itakuwa ndogo ili iwe rahisi kuibeba na pia uwezo wake wa kuchaji utawu mkubwa ukilinganisha na chaji za sasa. Kuundwa kwa charger hiyo pia kutapungu tani karibu 51,000 hua ni charger zisizotumika. Manufaa mengine ni kama kupunguka kwa kiasi fulani kwa hewa ya green house ambayo huleta ongezeko la joto duniani na kuathiri layer ya Ozoni. Kampuni hilizo kubaliana ni LG, Motorola, Nokia, Qualcomm, Samsung, na Sony Ericsson. Watowa huduma za simu waliokubaliana ni AT&T, Orange, T-Mobile, na Vodaphone.

No comments: