Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 22, 2009

MASHINDANO YA MAGARI

Gari la kushoto linatoka kwa Mzee Kibaki.


Magari ya mashindano yakiwa yameegeshwa.



South Africa wanawakilishwa na akina dada, L.Verlaque na M.Verlague pia wanapewa nafasi kubwa kwa kuwa na gari la kisasa jipya ambalo jana ndiyo limeanza kazi ya kuendeshwa ni gari aina ya Sunivin Golf. Wadada hao wameibuka nafasi ya Pili, wakiwa nyuma ya Waganda ambao wanaendesha gari aina ya Subaru, lenye namba za mashindandono 4, vijana hoa Emmanuel Katto na Moses Matovu jana walikuwa wa kwanza kufika japokuwa walikuwa wa knne kuondoka.Nchi nyingine inayopewa nafasi ya ushindi ni Kenya ambayo jana wamekuwa wa tatu kuwahi kufika kwa muda uliopangwa, gali loa linaendeshwa na P.Horsey na C.Sasson.

No comments: