Amezaliwa 18th October 1979 huko Camden Marekani.
Have you ever wondered why this chap likes wearing something on the head? is it because it looks good on him?
Lakini kofia zinamtoa bomba.Babake ni mmarekani mweusi na mama yake anamchanganyiko wa umarekini weusi na uchina, wazazi wake wote walikuwa wanamuziki. Kijana huyu alilelewa na mama yake pekee baada mbingi (mbuyu) wake kuwachana na mama yake.


















3 comments:
Huyu ni jangili, mwangalie macho yake.
jamaa anaanza kipara. hivi vipara vina aibu.
yuho ni from sweden mzaliwa wa sweden muamiaji wa marekani.napiga kiga swedish vizuriii
Post a Comment