Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 9, 2009

Baadhi ya wachezaji wa tenesi wakiwa katika viwanja vya gymkhana Dar es Salaam, katika mashindano ya vijana ambayo yanazishirikisha nchi 7 mpaka sasa michuano hiyoimefikia hatua ya Nusu fainali.


Mchezaji wa timu ya tenesi ya Burudi Hassan Ndayishimiye akijaribu kupiga mpira wakati wa pambano lake na Yassin Shabani wa timu ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali wa vijana katika viwanja vya Gymkhana Hassan Ndayishimiye alishinda mchezo huo.

Yassin Shabani wa Tanzania akipiga mpira wa tenisi katika mashindano ya vijana katika hatua ya nusu fainali ambapo alipoteza mchezo huo kwa kufungwa na Hussen Ndayishimiye kwa 6-4, 6-3. mashindano hayo ya vijana yaliyozishirikisha nchi 7 yamedhaminiwa na kampuni ya simu ya Vodaco na benki ya INternational Commercial Bank (ICB).


Mchezaji wa kike kutoka nchini Rwanda Gilele Ummatanga akipiga mpira katika mchezo wa mzunguko baina yake na Nakita Dauda hayopo pichani,wakati wa michuanamya vijana inayozishirikisha nchi 7, katika viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam.

2 comments:

Anonymous said...

vipi mdau,kwani huu michezo ulidhaminiwa na Benki ya ICB pekee nini?

pwaniraha said...

yes ulidhaminiwa we cheki mabango nyuma hapo