Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 24, 2009

KALICHO KITOKOLOLO WA FM AKADEMIA KUDAIWA KUHAMIA AKUDO IMPACT

Kiongozi wa bendi ya FM Academia Nyoshi El Saadat akifafanua jambo kuhusiana na Kilicho Kitokololo aliyekaa katikati ambaye anadaiwa kuwa amehamia katika bendi ya Akudo Impact wazee wa Masauti wakati walipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo Jijini Dar es salaam jana. Hata hivyo kitokololo alikanusha na kusema kuwa yeye alikwenda tu kutembea na kwakuwa yeye ni mwanamuziki aliamua kupanda katika juukwa la Akudo kama wengine wanvyofanya na siyo kujiunga noa .

Kalicho Kitokololo akitoa ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizozagaa kuwa yeye amehamia katika bendi ya Akudo Impact, wakati alipofanya mazungumzo na wandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. Kushoto ni Nyoshi Al Sadat rais wa bendi ya FM ACADEMIA.

Kitokololo akisistiza neno.


Baadhi ya waimbaji wa kundi la FM Acadenia Ngwasuma, wakiwa katika picha ya pamoja, baada ya kumaliza mkutano na wandishi wa habari.

No comments: