Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 31, 2009

GTV BYE BYE


Ni juzi tu Gtv walitoa fixture (ratiba) ya michezo ya mwezi ya Februari, ina maana kuwa aliyeandaa hii fixture alikuwa hajui mbeleni kutakuwa na nini, nasema hivi kwa sababu Gtv walikuwa hawana desturi ya kutoa fixture kila mwezi. Mtu mwenye kuandaa fixture hii alikuwa anaongeza ufanisi katika kazi yake bila ya kujua panga linalo kuja mbele. Kinyume na matarajio (Ironically) jana bodi ya wakurugenzi ya GBS kampuni mama ya Gtv ilitangaza kufungwa kwa kampuni hiyo kutokana na tatizo la kiuchumi linaloikumba dunia. Hapo chini press release ya bodi ya wakurugenzi wa GBS.

LONDON – 30 January 2009 - Gateway Broadcast Services announced today that its Board of Directors has unanimously approved a plan to liquidate the Company.
.
The current financial and global crisis has severely interrupted the company’s ability to secure further funding for the continued operation of the business.
.
The company has worked extensively with external advisors and all internal resources to investigate, evaluate and analyze strategic alternatives for the Company to further continue to operate. In determining to approve the Company's plan of Liquidation, the board and management carefully reviewed the advice and findings.
.
Gateway Broadcast Services, suppliers of the GTV service to subscribers across Africa has over the last 2 years invested a total of US$200 million and created jobs and competition in the 22 markets. The economic crisis that has emerged globally over the last few months has caused excessive demands on the business.
.
With immediate effect the service will be withdrawn.
.
“Increased instability in global markets interrupted our ability to secure funding on an acceptable timescale and have left us no choice but to cease operations,” said a company spokesman.
.
“We realise the negative impact this has had on our loyal customers, creditors and staff, all of who have believed in GTV and the revolution in pay TV it had created. We have tried every possible step to keep the company going but we are all the unfortunate victims of the current global economic crisis.”
Thank you.
.
.
Swali la kujiuliza ni; huu mpira wa premier league tutaangalia wapi?

UTAPELI WA DHAHABU DAR ES SALAAM

Askari polisi akimsindikiza mtuhumiwa kumpeleka kituo cha polisi cha Mwenge.

Dada tapeli akikamatwa na askari kanzu tayari kupelekwa polisi.
.
Utapeli wa kutumia madini aina ya dhahabu umeshamiri katika jiji la Dar es Salaam, hivi sasa wamevamia maeneo ya Mlimani City ambapo kila siku watu wamekuwa wakitapeliwa. Matapeli hawa hujifanya wametoka shamba maeneo ya Shinyanga na kuwa wamekuja na dhahabu kutafuta soka.

HOW TO SURVIVE IN DAR ES SALAAM

Vijana wakijitafutia ridhiki kwa kupeba zege katika mtaa wa mchikichini Kariakoo kwa malipo mya shilingi Tsh3000 kwa siku. Ukiyavulia maji nguo ni sharti uyaoge, hakuna uzuri hapa tunafanya kazi, then jioni tunaenda Maisha Club au Billicanas soap soap. Inakuwa ngoma draw mwanangu.

UZINDUZI WA ALBUM YA NURU

Msani wa Afro Pop Andrew Daud Shimba maarufu kwa jina (Ashimba) akitumbuiza katika uzindizu wa albamu yake ya Nuru Nyikani katika ukumbi wa Daralive zamani Malaika House uliopo Mikocheni karibu na Sine Club.

Wapenzi wa mziki wakifuatilia kwa karibu nyimbo ambazo za msanii huyo wakati wa uzinduzi wa albamu hiyo.



Maisha ni malengo huo ni msemo ambao watu wengi wanautumia kwa lengo la kuhakikisha kuwa wanafika katika hatua fulani ambayo walikuwa wanaitamani.Pamoja na kuwepo kwa msemo huo bado jamii kubwa imekuwa ikishindwa kufikia lengo hilo hali ambayo inaweza kuchangia mtu kufanya mambo mengi tofauti kwa miaka mingi na kubakia kuwa masikini.Kupitia msemo huo mtu anapofanikiwa ni lazima awe anakumbuka mafanikio hayo kwa kuyaelezea popote awapo akiamini kuwa jamii inayomsikiliza inaweza kuiga na yenyewe kufikia malengo hayo.Watu wamekuwa wakifanikiwa kupitia soka, riadha, ngumi, muziki, elimu, na fani nyingine nyingi.Katika makala hii ya leo nitamuelezea mwanamuzi wa mziki wa mtindo wa Afropop ambaye anaamini kuwa muziki ndipo malengo yake yametimia.Huyo si mwingine ila ni Adrew Daud Shimba maarufu kwa jina (Ashimba) ambaye kwa sasa ni kijana wa miaka 28 aliyezaliwa mwaka 1981 hapa hapa jijini Dar es Salaam. Ni kijana ambaye hamfamu baba yake hadi leo jambo ambalo linamnyima raha katika maisha yake.
.
Kijana huyu anasema alifanikiwa kupata elimu ya msingi na kumaliza mwaka 1994 ila hakufaulu, mama yake alimpeleka katika shule binafsi na tatizo la ada lilimfanya aishia kidato cha pili.Ashimba anasema kuishia kidato cha pili kulichangiwa na ukosefu wa fedha hivyo ikawa sababu ya yeye kujiingiza kwenye muziki. Pamoja na yeye kujihusisha na mziki dalili za wazi za yeye kujitambua kuwa ni mwanamuziki zilionwa na mjomba wake ambaye na yeye alikuwa na fani hiyo.Alisema mafanikio ya muziki alianza kuyaona mwaka 2000 ambao alijiunga na bendi mbalimbali za muziki wa asili hiyo ikiwa ni ndoto yake ya kuimba muziki wa aina hiyo.
.
Mwanamuziki huyo ni msaani ambaye anajitegemea kwa kuimba nyimbo ambazo zitakuwa na mtindo wake binafsi ambao unatambulika kama Afripop.Pamoja na kuwa kipaji cha kuimba nyimbo za mtindo huo Ashimba pia ana kipaji cha kujua lunga mbalimbali jambo ambalo linampa upeo mkubwa wa kufanya kazi zake kwa ubora."Mziki wangu ninaoimba ni wakipekee jambo ambalo linanipa matumaini ya kuwafiki watu wengi na kuukubali," alisema.Aidha Ashimba ana kipaji cha uandishi wa mashairi jambo ambalo linamfanya ajione kama mwenye bahati katika ulimwengu huu wa leo.Pia kuonyesha kuwa kijana huyu ambaye anatoka katika familia maskini ni mtaalamu wa kupiga gitaa hivyo kumrahisishia kufanya kazi yake ya kimuziki.Katika kuonyesha kuwa ni kijana mwenye uwezo amekuwa akishiriki matamasha mbalimbali katika jiji la Dar es Salaam, Bagamoyo na Zanzibar ambapo kwa asilimia kubwa anasema amefanya vizuri.Anasema pia amewahi kuimba na bendi mbalimbali za hapa nchini kama Afrikali, Sisi Tambala, na Jhikoman.
.
Mwaka 2006 Ashimba alikuwa miongoni mwa wasanii wa bendi ya Afrikali ambao walifanya ziara ya maonyesho katika nchi mbalimbali za ulaya.Anasema mwaka huu wa 2009 kwake unaweza kuwa wa mafanikio kutokana na kukamilisha albamu yake ya kwanza ambayo inaenda kwa jina la Nuru Nyikani.Nuru Nyikani ni albamu ambayo imetayarishwa na Mtayarishaji Jakob Poll na imezinduliliwa chini ya usimamizi wa Maisha Music Januari 30mwaka huu.Baadhi ya nyimbo ambazo zipo kwenye albamu hiyo ya Nuru Nyikani ni pamoja na Nuru Nyikani, Usingizi,Muzingitiko, Vano, Maisha, Nyaunda na nyingine nyingi ambapo jumla zipo nyimbo 14. Anasema katika albamu hiyo ameshirikisha baadhi ya wasanii wa hapa nchini kama Nakaya, Lufunyo, Kate, Msafiri na baadhi ya watayarishaji wa ndani na nje ya nchi. Alimzungumzia Jakob Poll kuwa ni mtu ambaye amechangia kufika hapo alipo na kuahidi kuwa atajitahidi kujituma zaidi ili kufanya vizuri zaidi.
Kwa upande wake Mtayarishaji wa albamu ya Nuru Nyikani Jakob Paul amesema yupo tayari kumsaidia mwanamuziki yoyote ambaye anahitaji msaada kutoa kwake. Kampuni yao ya Photo One Studio imejiwekea mikakati ya kuhakikisha kuwa wanamuziki wa hapa nchini wanapata mafanikio kupitia fani hiyo. Paul alisema jambo ambalo linakwamisha mafanikio kwa wanamuziki wa nchi hii asilimia kubwa ni ukosefu wa watu wakuwasimamia katika maandalizi ya kazi zao pamoja na fedha.Mtayarishaji huyo alisema muziki ni fani ambayo ikisimamiwa kwa kufuata taratibu zake ni wazi kuwa maendeleo yatapatikana kwa jamii hiyo. "Nawasihi wanamuziki vijana ambao wanashindwa kukamisha albamu zao watoe ushirikiano ili kuweza kusaidiwa kwa njia moja au nyingine na Photo One Studio," alisema.Poll alimtolea mfano mwanamuziki Adrew Ashimba ambaye anaimba mitindo wa Afropop kuwa atafanya vizuri kutokana na kuimba kwa kuzingatia vigezo na kupata usimamizi mzuri kutoka studio hiyo.
Mtindo huo wa Afropop bado haujawa maarufu lakini kutokana na uandaaji ulio bora kwa albamu hiyo ni wazi kuwa utafahamika kwa haraka. Aidha alisema katika kuhakikisha kuwa Ashimba anafanikiwa wapo kwenye mchakato wa kuandaa safari ya kuelekea katika nchi za Scandanavia. Huyo ndiye Adrew Daud Shimba (Ashimba) ambaye anaamini kuwa dalili za malengo yake kutimia zimeanza kuonekana.

AKUDO IMPACT WAONGEZEWA MKATABA NA SERENGETI BREWERIES.

Mkurugenzi wa Serengeti Breweries Limited, Ajay Mehta akimkabidhi mataba kiongozi wa Bendi ya Akudo Impact wazee wa masauti, katika ni Meneja Uhusiano Thedy Mapunda akishuhudia katika hafla iliyofanyika katika ofisi za S.B.L zilizopo Changombe Dar es Salaam.

January 30, 2009

KAMBA JOKES FOR THE WEEKEND

A Kamba went to the appliance store sale and found a bargain. "I would like to buy this small TV," he told the salesman. "Sorry, we don't sell it to Kambas," he replied. The Kamba hurried home removed his beard and changedhis hair style then came back and again told the salesman. "I would liketo buy this TV." "Sorry, we don't sell to Kambas," Salesman replied. "Damn, he still can recognize me," he thought. He went for a complete disguise this time, haircut and new hair color, new outfit, big sunglasses, then waited a few days before he again approached the salesman. "I would like to buy this TV." "Sorry, we don't sell to Kambas," he replied. Frustrated, he exclaimed "How do you know I'm a Kamba?" "That's because that's a microwave,"the salesman replied.
..........................................................................................................................................................................
A Kamba calls KQ "How long does it take to fly to Machakos?" "Just a second," says the rep. "Thank you",says the Kamba and cuts the line.
..........................................................................................................................................................................
A Kamba proposes to a woman. She says, "Yes, if you'll bring me a pair of crocodile boots." He sets off to Maasai Mara and disappears. Finally a search team finds him hunting a huge crocodile. He walks over to the reptile, checks its legs and angrily exclaims, "The 70th damn croc and this mbugger is also bare feet!"
.........................................................................................................................................................................
The doctor told the Kamba to run eight kilometers a day for 300 days to loose weight. After 300 days, the Kamba called the doctor to report he had lost the weight, but he had a problem: "I'm 2400 kms away from home.
..........................................................................................................................................................................
A Kamba got the 4th child. He fills data in the birth certificate Mother: Kenyan. Father: Kenyan. Kid: Chinese. "How come you wrote "Chinese" when both parents are Kenyan?"asks the registrar. The Kamba says, "Ahhh... I read in the newspaper, that every 4th person born on earth now is a Chinese."
........................................................................................................................................................................
A Kamba, Muoki, and a friend, Pakoris, went to South B. They managed to get into a double-decker bus. Pakoris somehow managed to find a seat downstairs, but unfortunately Muoki got pushed to the top. After a while, when the rush was over, Pakoris went upstairs to see his friend Muoki. He met Muoki in a bad condition clutching the seats in front with both hands and saying his prayers, scared to death. He asks,"Oi Mkamba! What the heck's goin'on? Why are you so scared?... I was really enjoying my ride down there?" Muoki mumbles, "Yeah, but you've got a driver."
....................................................................................................................
A Hawaiian and a Kamba from Kenya were asked to form a sentence with the words: Green,Pink and Yellow. The Hawaiian wrote: Every morning I put on my Pink shirt, light up my Green cigarette and look at the Yellow sun. The Kamba wrote: Every time I hear the phone ring, "Green! Green!", I pink it up and say,"Yellow! Yellow!"

January 29, 2009

Mtangaziji wa East Africa TV Bw. Ben Kinyaiya (kushoto) akifanya mahojiano na mkurugenzi wa kundi la taarab la Jahazi Bw Mzee Yusuph.

TANZANIA HOUSE OF TALENT (THT)

Wasanii wa kikundi cha kukuza pipaji vya muziki cha Tanzania House of Talent (THT), Ally Runa na Halima Masoud wakionyesha umahiri wao katika onyesho lao lililofanyika katika ukumbi wa New Msasani Club. Vijana hao wamekuwa wakifanya vizuri sana katika anga za muziki akiwa ni pamoja na kuigiza nyimbo za wasanii wa kubwa toka pande zote za Dunia.

January 28, 2009

OBAMA RAIS WA MAISHA

Rep. Jose Serrano, D-N.Y
.
Jose Serrano amepeleka mushaada katika bunge dogo la Marekani ili kubadilisha kipengele katika marekebisho ya kifungu cha 22, yenye kudhibiti awamu mbili tu za urais. Franklin D. Roosevelt, ndiye rais wa kwanza Marekani kuwa kiongozi kwa zaidi ya awamu mbili. Zamani kuwa kulikuwa hakuna udhibiti wa awamu lakini marais wengi wa Mareni walijidhibiti wenyewe tu pindi ifika miaka nane au vipindi viwili vya urais wao. Roosevelt aligombea vipindi vinne vya urais lakini alipokufa tu, Bunge dogo mnamo Machi 21 1947 lilipitisha muswaada wa marekebisho wa katiba kifungu 22 kinachodhibiti awamu mbili za urais.
.
Urais ni mtamu sana hasa pale unapokaribia kuisha, lakini cha ajabu kijana wetu (Obama) anaona mbali sana yeye harakati hizi amezianza kabla yakuanza urais wake. Najua sio yeye aliyeupeleka huu mswaada ni Rep Jose Serrano lakini swali la kujiuliza ni kwa manufaa ya nani kama sio Obama?

SIMUZILI YA MAUAJI YALIZA WATU KORTINI JANA

Riley Ann Sawyers mtoto wa miaka miwili aliyeuliwa kinyama na mamake wakishirikiana na baba yake wa kambo huko Marekani Texas

Kimberly Trenor, 20, mama anayesadikiwa kumuuwa mwanaye kikatili kwa kisingizio kuwa anamfunza adabu njema.

Royce Zeigler II, miaka 25 baba wa kambo wa mtoto Riley ambaye pia alishiriki kumuuwa mtoto Riley.
.

Jana Jumanne watu ndani ya korti moja nchini Marekani walijikuta wakibubujikwa na machozi pale waliposikiliza simulizi ya mkasa ulimtokea mtoto Riley pale alipokuwa anaadhibiwa na mama yake kwa kile kinachodaiwa kukosa nidhamu. Mama huyo Trenor alisimulia mkasa huwo kwenye mkanda wa video ambao ulionyeshwa Kortini kama ushahidi. Wapelelezi walisema kuwa Riley alipigwa na mamake kwa kutumia mkanda mzito pamoja na kumtumbukiwa mtoto huyo kwenye maji biridi. Trenor alitaka mwanawe awe na mazoea ya kusema neno "Tafadhali" na neno "Ndio bwana" ("please" and "yes sir"). Trenor alimrushia lawama mume wake pale aliposema kuwa ndiye alimuuwa Riley kwasababu alimpigiza mtoto huyo kwenye ukuta mara nyingi.
.
Mtoto Riley alipoona kipigo kinazidi alimwambia mamake "nakupenda" iliamuache, lakini wazazi hao walizidi kumpa mtoto kichapo. Walipoona mtot hasema wakamuacha waliogopa kumpeka hospitali maana walijua watachukuliwa hatua kali. badala yake akaachwa afe. Riley alipokufa wakamfungasha kwenye kontena la plastiki na kumtupa huko kisiwa cha Galveston Bay. Mkasa huu ulitokea Oktoba 2007 lakini kesi ilikuwa inasikilizwa jana.

January 26, 2009

FOOD CRISIS IN THE KENYAN COAST

Humanitarian agencies based in the Coast of Kenya have sent out an urgent appeal for humanitarian assistance after it emerged that more than 200,000 people were threatened with starvation. Among the worst affected areas include; Kwale, Kinango, Msambweni, Kilifi, Malindi, Tana River, Tana Delta and Lamu.

The Kenya government has already sent out an international appeal for food aid but it will be a while before such assistance reaches the famine stricken families. Speaking during the launch of the famine initiative dubbed “Okoa Maisha” – an initiative by local artists in Mombasa - the Kenya Red Cross Society [KRCS] chairman Francis Ngugi said the number of those in distress is likely to increase owing to the slow response. “It is my humble appeal that people of good will and well-wishers will come up support the Okoa Maisha Initiative as many of our brothers and sisters in the region are faced with severe hunger,” he said.
.
Among the artists that have supported the initiative include; a leading record company Tabasam Records and popular artist Risasi. The initiative by the local artists that has received the support of the Kenya Red Cross Society and the Coast Parliamentary Group [a group that bring together the 23 Coast MPs], intends to hold mini concerts that are aimed at sourcing for donation for the famine victims. According to the organizer of the Okoa Maisha, the initiative will culminate with a major concert that will be staged in Mombasa. The event is expected to attract of the top Kenya and Tanzania musicians. So far Coast MPs have raised a whooping Ksh4.6 million to assist the famine victims. The food security status in the Coast Region is said to be at a critical precipice, following the failure of the short rains, after a succession of three poor seasons. High food and non-food prices, livestock disease, crop failure and conflict have compounded already precarious food insecurity.

Most of the affected families are considered to be in a highly food insecured situation and in need of a comprehensive multi-sectoral intervention aimed at mitigating a catastrophic decline in food security. Comprehensive food security assessments scheduled for early February will clarify the exact extent, depth and character of food insecurity across livelihoods. The famine has further disrupted learning in most of the schools in the rural part of the Coast province. The worst famine in Coast region was reported in 2004, where an estimated 600,000 were faced with severe hunger. The resort coastline of Kenya is home to more than 3 million people.

By Francis Thoya

UZINDUZI WA GAZETI LA THE FOOTBALL

Mhariri Mtendaji Jamila Abdallah wa magazeti ya Changamoto na The Football yanayomilikiwa na Kampuni ya LadyBand akimkabidhi Sister Etien msaada wa katoni za unga wa ulezi. Sister Etien ni mkuu wa kituo hicho cha kulea watoto yatima huko Msimbazi. Msaada huu ulikiwa ni sehemu ya sherehe za kuzindua Gazeti la The Football, ambayo ilikuwa ni tarehe Januari 26 mwaka huu.
kutoka kushoto ni Mhariri wa The Football Mawazo Lusonzo, Jamilah Abdallah ambaye ni Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Changamoto na The Football, akifuatiwa na kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Marcio Maximo, wakala wa magazeti hayo Juma Mnete, na mhariri wa makala wa magazeti yote mawili Emmanuel Marima, wakiwa katika mpicha ya pamoja baada ya kuzindua gazeti la The Football katika ukumbi wa New Africa Hotel.

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Kanali Msataafu Idd Kipingu katikati akizindua Gazeti la The Football katika sherehe za kutimiza mwaka mmoja wa gazeti hilo katika ukumbi wa Hoteli ya New Afrika jiji Dar es Salaam, kushoto ni Mhariri mtendaji Jamilah Abdallah, Mhariri wa gazeti hilo Mawazo Lusonzo, kulia kabisa ni Makwaia Wa Kuhenga ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Je!Tutafika? kinachorushwa na CHANEL TEN.


Mmoja wa wafanyakazi ya kulea watoto yatima katika kituo cha Msimbazi Daniela Baer akimbembeleza mtoto Noela ambaye ni miongoni mwa watoto 45 wanaolelewa katika kituo hicho kilichopo Dar es Salaam.


UBUNGO

Vijana hawa wakifanya usafi wa nguo zao katika bomba lililopasuka maeneo ya Ubungo katika makutano ya barabara za Morogoro na Sam Nujoma, sehemu hii ipo karibu na Wizara ya Maji, imekuwa itiririsha maji titiri bila wahusika kuchukua hatua za kukarabati sehemu hiyo.

MBUZI KOROKORONI

suspect (mtuhumiwa)

Police in Nigeria are holding a goat on suspicion of attempted armed robbery. Vigilantes (Sungusungu) took the black and white beast to the police saying it was an armed robber who had used black magic to transform himself into a goat to escape arrest after trying to steal a Mazda 323.

"The group of vigilante men came to report that while they were on patrol they saw some hoodlums attempting to rob a car. They pursued them. However one of them escaped while the other turned into a goat," Kwara state police spokesman Tunde Mohammed said "We cannot confirm the story, but the goat is in our custody. We cannot base our information on something mystical. It is something that has to be proved scientifically, that a human being turned into a goat," Belief in witchcraft is widespread in parts of Nigeria, Africa's most populous nation. Residents came to the police station to see the goat, photographed in one national newspaper on its knees next to a pile of straw.

Sasa kina mama endeleeni kuangalia hizo muvii zenu za ki-Nigeria-(HATULALI).

WANAMEREMETA

Yohane Maboko na Irine Utoo

Wakiwa na nyuso za furaha siwengine bali ni kaka wa mdau wa pwanira, Yohane Maboko na Irine Utoo wakimeremeta baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay na baadaye katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa Don Bosco Upanga.

January 24, 2009

JE WAJUA KISA CHA KUANZISHWA KUNDI LA TMK UNIT?

kutoka kulia, Yassaya Ambikule aka YP ,Yassin Habibu aka Y-Dash, Meneja wa kundi hilo la TMK Unit Abdallah Issa na Jeneby Mbaraka aka Jebby



Yassaya Ambikile akiongea na wandishi wa habari juu ya kuanzisha kundi lao jipya.
Hivi karibuni kundi la muziki la TMK Family liliondokewa na wanamuziki wake tegemeo ambao ndo vichwa hasa vya kundi hilo lenye masikani yake huko wilayani Temeke. Wasanii waliojiengua ni mwimbaji mahiri Yassin Habibu a.k.a Y-Dash, Yassaya Ambikule -a.ka YP na Jeneby Mbaraka A.K.A Jebby.
kulingana na wasanii hao; kisa cha wasanii hao kujitoa katika kundi hilo la TMK Family ni kutokana na Meneja wa kundi hilo Fela kulitumia kundi hilo kwa manufaa yake mwenyewe ambapo amekuwa akiuhadaa uma kuwa kundi lake lina manufaa kumbe wasanii hao hawana manufaa yoyote zaidi ya yeye kujilimbikizia mali.
.
"Hivi karibuni Fela alitangaza kuwa kila msanii wa kundi hilo anashamba jambo ambalo si la kweli ila sisi wasanii tulikubaliana na usemi wake kwa sababu hatukuwa na jinsi", hayo ni maneno ya YP. Aliendele kusema "sisi wasanii tumekuwa na sifa kubwa kwa jamii kiasi cha watu kujua kuwa sisi ni watu wenye kipato kikubwa kumbe anayefaidika ni mmoja tu, ndio maana tumeamua kujitoa katika kundi hilo". Kauli hiyo ya wasanii hao inadhihirisha ule wimba ulioimbwa na kundi la WANAUME TMK HALISI ambalo pia walijitoa katika kundi hilo, na kuimba wimbo unaoseme Mshike mshike ndege tunduni. Wimbo huo ulikuwa na maana sana kuna nini huko? Kwa hivi sasa Tunautangazia umma kuwa sisi watatu hatupo ten. kwenye kundi hilo.
.
Wakiwa chini ya Meneja wao mpya Abdarah Issa ambaye kwa sasa ofisi zao zipo temeke kwa muda wa miezi mitatu iliyopita walikuwa nchini Kongo na Burundi ambapo walifanya show za kufa mtu. Pia kwa sasa tayari wamerekodi nyimbo 12 ambazo zimetengenezwa katika nchi 3, na albamu yao tayari wameshaipa jina la KIDONGE ambapo kwa sasa wimbo ambao wameshaupeleka katika vituo mbalimbali vya Redio ni "More Fire".

KALICHO KITOKOLOLO WA FM AKADEMIA KUDAIWA KUHAMIA AKUDO IMPACT

Kiongozi wa bendi ya FM Academia Nyoshi El Saadat akifafanua jambo kuhusiana na Kilicho Kitokololo aliyekaa katikati ambaye anadaiwa kuwa amehamia katika bendi ya Akudo Impact wazee wa Masauti wakati walipokutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo Jijini Dar es salaam jana. Hata hivyo kitokololo alikanusha na kusema kuwa yeye alikwenda tu kutembea na kwakuwa yeye ni mwanamuziki aliamua kupanda katika juukwa la Akudo kama wengine wanvyofanya na siyo kujiunga noa .

Kalicho Kitokololo akitoa ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizozagaa kuwa yeye amehamia katika bendi ya Akudo Impact, wakati alipofanya mazungumzo na wandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. Kushoto ni Nyoshi Al Sadat rais wa bendi ya FM ACADEMIA.

Kitokololo akisistiza neno.


Baadhi ya waimbaji wa kundi la FM Acadenia Ngwasuma, wakiwa katika picha ya pamoja, baada ya kumaliza mkutano na wandishi wa habari.


MALIKIA WA SEBENE

Hapa Vivian Stephane akipokea zawadi kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania.

Malikia wa Sebene wa 2007 Ketura Kihongosi akimvisha krauni Vivian Stephano ambaye aliibuka mshindi wa Malikia wa Sebene 2009 mashandano haya yalifanyika katika ukumbi wa Msasani Club Dar es Salaam, mshindi huyo wa kwanza alijinyakuliakitita cha shilingi 1,600,000. na mshindi wa pili alizawadiwa 1,400,000. Kweli global economic deterioration (recesion) haijafika Bongo.

Washiriki walioingia tano bora wa Malikia wa Sebene 2009 wakiwa katika picha ya pamoja,(kutoka kulia) Florida Gabliel , Happy Kambona, Cecilia Joseph, Sikuzani Daudi na Vivian Stephano, wakiwa wameshikilia maua baada ya kukabiziwa kama zawadi.


Washiriki wa Malikia wa Sebene wakichuana kumtafuta mshindi, usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Msasani Club.


Baadhi ya washiriki wa Malikia wa Sebene mwaka 2009 wakichuana katika hatua ya kwanza katika ukumbi wa Msasani Club. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya Tan Vision ya Dar es Salaam.


January 23, 2009

PRESIDENT BARACK OBAMA'S INAUGURAL SPEECH

Watu wengine walikuwa wakiniuliza kuwa inakuwaje Barack Obama aliweza kukariri hotuba yake kwa muda mrefu, au Obama hutoa hotuba nzuri bila ya kusoma. Basi habari ndo hii;
.
US President Barack Obama as he delivered his speech during his inauguration ceremony

President Obama akinyamazisha umati wa watu ulipokuwa unampigia makofi baada ya kutoa pointi zinazowakuna roho.

Rais Obama alipokuwa anaapishwa. Huwo mshale mwekundu unaonyesha kifaa kiitwacho teleprompter au autocue. Hichi kifaa humfanya mtoa hotuba aonekane kama ambaye hasomi hotuba yake. Kwa ujumla kifaa hichi humfanya mtu aonekana kuwa anatoa maneno ya hotuba yake kichwani.


Hapa mshale unaonyesha vizuri na kwa ukaribu kifaa hichi cha teleprompter.



Kwa msiyemjua, huyu bwana anaitwa Jon Favreau mwenye asili ya Ufaransa na Canada, cheo chake tangia Januari 20 ni White House Director of Speechwriting. Kwa sasa anamiaka ishirini na saba 27, ndie aliyekuwa akiandika hotuba nyingi za Obama wakati alipokuwa akiwania nafasi ugombeaji kupitia chama cha Democrat mpaka kwenye kinyang'anyiro cha uraisi. Hotuba hii nzuri pia inasadikiwa iliandaliwa na Obama pamoja Favreau.

SOMO: "Any good thing being delivered excellently, know that it is a combination of talents organised in a well delivery channel".

by C.M. Hamisi.



HOTUBA YA BARACK OBAMA HII YAPO CHINI

My fellow citizens:
.
I stand here today humbled by the task before us, grateful for the trust you have bestowed, mindful of the sacrifices borne by our ancestors. I thank President Bush for his service to our nation, as well as the generosity and co-operation he has shown throughout this transition.
Forty-four Americans have now taken the presidential oath. The words have been spoken during rising tides of prosperity and the still waters of peace.
.
Yet, every so often the oath is taken amidst gathering clouds and raging storms. At these moments, America has carried on not simply because of the skill or vision of those in high office, but because We the People have remained faithful to the ideals of our forbearers, and true to our founding documents.
.
So it has been. So it must be with this generation of Americans. That we are in the midst of crisis is now well understood. Our nation is at war, against a far-reaching network of violence and hatred. Our economy is badly weakened, a consequence of greed and irresponsibility on the part of some, but also our collective failure to make hard choices and prepare the nation for a new age. Homes have been lost; jobs shed; businesses shuttered. Our health care is too costly; our schools fail too many; and each day brings further evidence that the ways we use energy strengthen our adversaries and threaten our planet.
.
These are the indicators of crisis, subject to data and statistics. Less measurable but no less profound is a sapping of confidence across our land - a nagging fear that America's decline is inevitable, and that the next generation must lower its sights. Today I say to you that the challenges we face are real. They are serious and they are many. They will not be met easily or in a short span of time. But know this, America - they will be met.
.
On this day, we gather because we have chosen hope over fear, unity of purpose over conflict and discord. On this day, we come to proclaim an end to the petty grievances and false promises, the recriminations and worn out dogmas, that for far too long have strangled our politics.
We remain a young nation, but in the words of Scripture, the time has come to set aside childish things. The time has come to reaffirm our enduring spirit; to choose our better history; to carry forward that precious gift, that noble idea, passed on from generation to generation: the God-given promise that all are equal, all are free, and all deserve a chance to pursue their full measure of happiness.
.
In reaffirming the greatness of our nation, we understand that greatness is never a given. It must be earned. Our journey has never been one of short-cuts or settling for less. It has not been the path for the faint-hearted - for those who prefer leisure over work, or seek only the pleasures of riches and fame. Rather, it has been the risk-takers, the doers, the makers of things - some celebrated but more often men and women obscure in their labour, who have carried us up the long, rugged path towards prosperity and freedom. For us, they packed up their few worldly possessions and travelled across oceans in search of a new life. For us, they toiled in sweatshops and settled the West; endured the lash of the whip and ploughed the hard earth.
.
For us, they fought and died, in places like Concord and Gettysburg; Normandy and Khe Sahn.
Time and again these men and women struggled and sacrificed and worked till their hands were raw so that we might live a better life. They saw America as bigger than the sum of our individual ambitions; greater than all the differences of birth or wealth or faction.
This is the journey we continue today. We remain the most prosperous, powerful nation on Earth. Our workers are no less productive than when this crisis began. Our minds are no less inventive, our goods and services no less needed than they were last week or last month or last year. Our capacity remains undiminished.
.
But our time of standing pat, of protecting narrow interests and putting off unpleasant decisions - that time has surely passed. Starting today, we must pick ourselves up, dust ourselves off, and begin again the work of remaking America.
For everywhere we look, there is work to be done. The state of the economy calls for action, bold and swift, and we will act - not only to create new jobs, but to lay a new foundation for growth. We will build the roads and bridges, the electric grids and digital lines that feed our commerce and bind us together. We will restore science to its rightful place, and wield technology's wonders to raise health care's quality and lower its cost. We will harness the sun and the winds and the soil to fuel our cars and run our factories. And we will transform our schools and colleges and universities to meet the demands of a new age. All this we can do. And all this we will do.
.
Now, there are some who question the scale of our ambitions - who suggest that our system cannot tolerate too many big plans. Their memories are short.
.
For they have forgotten what this country has already done; what free men and women can achieve when imagination is joined to common purpose, and necessity to courage.
What the cynics fail to understand is that the ground has shifted beneath them - that the stale political arguments that have consumed us for so long no longer apply. The question we ask today is not whether our government is too big or too small, but whether it works - whether it helps families find jobs at a decent wage, care they can afford, a retirement that is dignified.
.
Where the answer is yes, we intend to move forward. Where the answer is no, programmes will end. And those of us who manage the public's dollars will be held to account - to spend wisely, reform bad habits, and do our business in the light of day - because only then can we restore the vital trust between a people and their government.
.
Nor is the question before us whether the market is a force for good or ill. Its power to generate wealth and expand freedom is unmatched, but this crisis has reminded us that without a watchful eye, the market can spin out of control - and that a nation cannot prosper long when it favours only the prosperous.
.
The success of our economy has always depended not just on the size of our Gross Domestic Product, but on the reach of our prosperity; on our ability to extend opportunity to every willing heart - not out of charity, but because it is the surest route to our common good.
.
As for our common defence, we reject as false the choice between our safety and our ideals. Our Founding Fathers, faced with perils we can scarcely imagine, drafted a charter to assure the rule of law and the rights of man, a charter expanded by the blood of generations. Those ideals still light the world, and we will not give them up for expedience's sake. And so to all other peoples and governments who are watching today, from the grandest capitals to the small village where my father was born: know that America is a friend of each nation and every man, woman, and child who seeks a future of peace and dignity, and that we are ready to lead once more.
.
Recall that earlier generations faced down fascism and communism not just with missiles and tanks, but with sturdy alliances and enduring convictions. They understood that our power alone cannot protect us, nor does it entitle us to do as we please. Instead, they knew that our power grows through its prudent use; our security emanates from the justness of our cause, the force of our example, the tempering qualities of humility and restraint.
.
We are the keepers of this legacy. Guided by these principles once more, we can meet those new threats that demand even greater effort - even greater co-operation and understanding between nations. We will begin to responsibly leave Iraq to its people, and forge a hard-earned peace in Afghanistan.
.
With old friends and former foes, we will work tirelessly to lessen the nuclear threat, and roll back the spectre of a warming planet. We will not apologise for our way of life, nor will we waver in its defence, and for those who seek to advance their aims by inducing terror and slaughtering innocents, we say to you now that our spirit is stronger and cannot be broken; you cannot outlast us, and we will defeat you.
.
For we know that our patchwork heritage is a strength, not a weakness. We are a nation of Christians and Muslims, Jews and Hindus - and non-believers. We are shaped by every language and culture, drawn from every end of this Earth; and because we have tasted the bitter swill of civil war and segregation, and emerged from that dark chapter stronger and more united, we cannot help but believe that the old hatreds shall someday pass; that the lines of tribe shall soon dissolve; that as the world grows smaller, our common humanity shall reveal itself; and that America must play its role in ushering in a new era of peace. To the Muslim world, we seek a new way forward, based on mutual interest and mutual respect. To those leaders around the globe who seek to sow conflict, or blame their society's ills on the West - know that your people will judge you on what you can build, not what you destroy. To those who cling to power through corruption and deceit and the silencing of dissent, know that you are on the wrong side of history; but that we will extend a hand if you are willing to unclench your fist.
.
To the people of poor nations, we pledge to work alongside you to make your farms flourish and let clean waters flow; to nourish starved bodies and feed hungry minds. And to those nations like ours that enjoy relative plenty, we say we can no longer afford indifference to suffering outside our borders; nor can we consume the world's resources without regard to effect. For the world has changed, and we must change with it.
.
As we consider the road that unfolds before us, we remember with humble gratitude those brave Americans who, at this very hour, patrol far-off deserts and distant mountains. They have something to tell us, just as the fallen heroes who lie in Arlington whisper through the ages. We honour them not only because they are guardians of our liberty, but because they embody the spirit of service; a willingness to find meaning in something greater than themselves. And yet, at this moment - a moment that will define a generation - it is precisely this spirit that must inhabit us all.
.
For as much as government can do and must do, it is ultimately the faith and determination of the American people upon which this nation relies. It is the kindness to take in a stranger when the levees break, the selflessness of workers who would rather cut their hours than see a friend lose their job which sees us through our darkest hours. It is the firefighter's courage to storm a stairway filled with smoke, but also a parent's willingness to nurture a child, that finally decides our fate.
.
Our challenges may be new. The instruments with which we meet them may be new. But those values upon which our success depends - honesty and hard work, courage and fair play, tolerance and curiosity, loyalty and patriotism - these things are old. These things are true.
They have been the quiet force of progress throughout our history. What is demanded then is a return to these truths. What is required of us now is a new era of responsibility - a recognition, on the part of every American, that we have duties to ourselves, our nation, and the world, duties that we do not grudgingly accept but rather seize gladly, firm in the knowledge that there is nothing so satisfying to the spirit, so defining of our character, than giving our all to a difficult task.
.
This is the price and the promise of citizenship. This is the source of our confidence - the knowledge that God calls on us to shape an uncertain destiny. This is the meaning of our liberty and our creed - why men and women and children of every race and every faith can join in celebration across this magnificent mall, and why a man whose father less than 60 years ago might not have been served at a local restaurant can now stand before you to take a most sacred oath. So let us mark this day with remembrance, of who we are and how far we have traveled. In the year of America's birth, in the coldest of months, a small band of patriots huddled by dying campfires on the shores of an icy river. The capital was abandoned. The enemy was advancing. The snow was stained with blood. At a moment when the outcome of our revolution was most in doubt, the father of our nation ordered these words be read to the people: "Let it be told to the future world ... that in the depth of winter, when nothing but hope and virtue could survive ... that the city and the country, alarmed at one common danger, came forth to meet [it]."
.
America. In the face of our common dangers, in this winter of our hardship, let us remember these timeless words. With hope and virtue, let us brave once more the icy currents, and endure what storms may come. Let it be said by our children's children that when we were tested we refused to let this journey end, that we did not turn back nor did we falter; and with eyes fixed on the horizon and God's grace upon us, we carried forth that great gift of freedom and delivered it safely to future generations.

KILWA ROAD

Daraja la mto Mkizinga lililopo katika barabara ya Kilwa Mtoni likiwa katika hatua za mwisho ambapo kwa sasa limeanza kutumika. barabara hiyo inajengwa kwa hisani ya walipakodi wa Jamuhuri ya Japani


Balozi wa Egypt Wael Nasr


Balozi huyo alikuwa anaongea na waandishi wa habari kuhusu vita vya Gaza vilivyositishwa hivi majuzi. Inakadiriwa kuwa Wapalestina zaidi ya 1300 wamepoteza maisha yao, huku Waisrael 13 wakiwa wamepoteza maisha, 3 kati yao ikiwa ni raia na 10 wakiwa wanajeshi.

Jumapili hii Hamas na Isreali kita mtu kwa wakati wake walitangaza kusitishwa kwa vita vilivyo dumu siku 22.


YANGA

Kipa wa kulipwa toka incini Serbia; Obren Curvovic

Kikosi cha Yanga


Mchezaji wa Yanga Athumani Idd Chuji akijaribu kumtoka mchezaji wa JKT Ruvu.
Yanga yakaribia kuwa bingwa bado mechi mbili tu ichukuwe ubingwa. Hadi sasa ina pointi 36 ikifuatiwa na Kagera yenye pointi 23, hii ni historia tosha ambayo haijawahi kutokea kuongoza kwa pointi takriban 19 dhidi ya watani wao wa jadi Simba.

January 21, 2009

PACHA FEKI WA OBAMA APATA UMAARUFU

Obama real na Feki wake

Ilham Anas 34, ambaye wengi huko Indonesia wanasema anafanana na Barack Obama 47, amekuwa maarufu sana katika siku hizi chake.

Watu wengi hupiga picha nae kama ambaye ni Obama mwenyewe.


Huyu bwana alipanda umaarafu pale Obama aliposhinda kiti cha urais, Marafiki wake walimvisha suti na tai ili wapate kumlinganisha vizuri na Obama wa kweli. Picha hizo zilizagaa kwenye TV na mitandao (internet), vituo vya televisheni vilianza kumtafuta pamoja na wakala wa matangazo (advertising agency), hii ndio maana sasa anaonekana kwenye tangazo la kampuni moja ya madawa huko Indonesia. Kufanana kwake na Obama kumempa ongezeko kubwa la kifedha ukizingatia yeye alikuwa mpiga picha wa kawaida.
Huyu bwana kwa sasa inaonekana ni heri umwambie kuwa hafanani na baba yake kuliko umwambie hanafani na Obama.

JE OBAMA ATAPENDEZA KWENYE NOTI YA MAREKANI?


January 20, 2009

BLACKMAN MAKING HISTORY IN A WHITEMAN'S LAND

Hili ni eneo karibu na Lincon Memorial, jinsi lilivyo jaa leo.




The aerial view of Lincon Memorial Building

Lincon Memorial Building in 1963

Lincon Memorial sehemu atakayo apishwa Barack Hussein Obama pia ipo kwenye noti