Basil Mramba na Mwenzake Daniel Yona, wakitoka katika  Mahakama ya Kisutu baada ya kupata dhamana .
MAWAZIRI WA ZAMANI AMBAO  WANAHUSISHWA NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA WAMEACHIWA KWA DHAMANA HIYO IKIWANI BAADA YA KUKIDHI  MAHITAJI YA DHAMANA YAO.
DHAMANA HIYO IMETOLEWA LEO KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU HIYO IKIWA BAADA YA MAWAZIRI HAO KUFIKISHWA MAHAKANI HAPO JANA NA KUSHINDWA KUPATIWA DHAMANA KUTOKANA NA KUTOFIKA KWA JALADA.
DHAMANA HIYO IMETOLEWA LEO KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU HIYO IKIWA BAADA YA MAWAZIRI HAO KUFIKISHWA MAHAKANI HAPO JANA NA KUSHINDWA KUPATIWA DHAMANA KUTOKANA NA KUTOFIKA KWA JALADA.

No comments:
Post a Comment