Jiji la Dar es Salaam, limekuwa na ongezeko kubwa la vichaa ambapo inakadiriwa kuwa kila unapo pita katika mitaa ya jiji hili utakutana na zaidi ya mmoja, sababu kubwa ni uingizwaji wa madawa ya kulevya na nyingine ni vijana kutokana na ugumu wa maisha hulazimika kutumia dawa hizo ikiwa ni sehemu ya kupoteza mawazo. Pichani ni mmoja wa waathirika akiwa amelala chini ya kituo cha mabasi cha Victoria.
2 comments:
Anonymous
said...
si raha tena bali ni buraha.it shows the scarcity of jobs.
2 comments:
si raha tena bali ni buraha.it shows the scarcity of jobs.
ni raha ilioje kulala bwerere sasa yeye na Mramba nani ana mawazo.
Post a Comment