Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 30, 2008

TMK HALISI

KUNDI LA WANAUME HALISI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KATIKA NI KIONGOZI WA KUNDI HILO LENYE MASIKANI YAKE PALE TMK YAANI TEMEKE, DAR ES SALAAM. KUNDI HILI LILIWATOA JASHO WAPINZANI WAKE WA KUNDI LA TMK FAMILY LINALOONGOZWA NA AMANI TEMBA WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA MIEZI ILIYOPITA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILLEE.
HIYO NDIYO SHOW ILIYOFUNIKA VIBAYA SANA KATIKA MATAMASHA YOTE YA WANAMUZIKI WALIOPATA KUPANDA JUKWAANI KWA UPANDE WA WABONGO MWAKA HUU. MAPANGA VISU NONDO VILITAWALA LAKINI KULIKUWEPO NA ULINZI WA KUTOSHA KUTOKA KWA JESHI LA POLISI NA MAKAMPUNI BINAFSI YA ULINZI.

No comments: