Wachezaji wa timu ya Taifa stars wakicheza mchiriku na Mohamed Dewji leo wakati timu ya taifa ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, wakitokea Sudan ambapo waliishinda 2-1 na kufanikiwa kuingia katika mashindano ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza lingi za nyumbani. Fainali hizo zitafanyia nchini Cote d'Ivoire mwakani.
December 16, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment