Mkurugenzi wa ICB bwana Charles Rwechungura akikata utepe katika ufunguzi wa ATM ya tano Tawi la Uhuru Kariakoo Dar es salaam.
Bw. Charles Rwechungura akionyesha jinsi ya kutumia ATM kwa kutoa pesa taslimu kwenye mashine hiyo.
Mkurugenzi mtendaji wa ICB Bw. S.V. Ramani kushoto akiwa na Bw. Charles Rwechungura katikati pamoja na Meneja oparesheni Bw. V.K. Mohandas.
Mmoja wa wateja wakubwa wa Tawi la Uhuru Bw. Hasham wa Tabata Petrol Station akihudhuria uzinduzi huwo, nyuma yake ni Rachel Mushi afisa wa Benki tawi hilo.
Wafanyikazi wa Tawi la Uhuru wakiwa na wakurugenzi wao katika picha ya pamoja.
2 comments:
Anonymous
said...
lovely foto, i think you should frame it and keep it in the office for rememberance
2 comments:
lovely foto, i think you should frame it and keep it in the office for rememberance
retro jordans
off white shoes
off white hoodie
off white shoes
golden goose sneakers
supreme
yeezy shoes
golden goose
nike travis scott
golden goose
Post a Comment