Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

November 25, 2008

BREAKING NEWS YONA NA MRAMBA KORTINI

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini katika serikali ya awamu ya tatu Bw. Daniel Yona pamoja na aliyekuwa Waziri wa Fedha awamu hiyo hiyo Bw. Basil Pesambili Mramba wamefikishwa Mahakamani kwa Hakimu Mkaazi Kisutu. Watuhumiwa hawa wawili wanatakiwa wasalimishe hati zao za kusafiria pamoja sharti la kutoondoka Dar es salaam, pia kila mmoja ametakiwa aweke dhamana ya kiasi cha bilioni 3.9 fedha taslimu ya Kitanzania.

Habari kamili itawajia punde.

No comments: