Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete, akiwakabidhi vifaa vya Hospitali Waganga wa Zahanati ya Ishinde ya Wilayani Same, Ruth Mushi, Mkuu wa wilaya ya Same Dk. Zawadi Abdallah na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mheshimiwa Monica Mbega (katikati).
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye (Kushoto), akipata maelezo kutoka kwa mwanachama wa Questnet-Tanzania, George Kaindoah kuhusu shughuli za Questnent ambao ni mtandao wa biashara duniani, muda mfupi baada ya kuzindua wakala wa QuestNet hapa nchini, jijini Dar es Salaam, Jumatano jioni.
No comments:
Post a Comment