Mmoja wa wazazi ambaye jina lake tunalihifadhi akicheza muziki wa taarabu mbele ya mwanae wakati wa birthday ya mtoto wake, vitendo kama hivi vinaleta maabukizi ya watoto katika makuzi yao.
Kipa wa Simba Dida akiwa na mchezaji mwenza wakishangilia ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania baada ya kukabidhiwa kombe la Vodacom na kutawazwa mabigwa wapya hapa ilikuwa katika mchezo wa marudiano zidi ya yanga simba ilishinda 4-3.
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa uongozi Mzee Dalali akilia kwa furaha baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi Yanga.
Washambuliaji wawili wakibadilishina jezi baada ya kumalizika kwa mchezo wa simba na yanga simba ilishinda 4-3.
Hawa jamaa ndio wachora katuni katika magazeti mblimbali hapa nchini walibahatika kukutana katika semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ikiwa ni sehemu ya kutambua umuhimu wa wapiga picha na wachora katuni kwa mchango wao wa kuelimisha jamii kupitia picha na katuni.
No comments:
Post a Comment