Mtu huyu alikuwa anatembea na mbuzi wake bila wasi wasi maeneo ya Kariakoo huku akidhani haina shida, kumbe ni kinyume na sheria za Jiji. Mgambo walipoona hivyo wakamtia mbaroni.
Askari wa mgambo akimwelezea mtuhumiwa taratibu za kushafirisha mifugo, hii ndio maana bei ya mbuzi ni ghali huku Dar.
Mbuzi (kitoweo) akipelekwa korokoroni pamoja na mmiliki wake.
No comments:
Post a Comment