Jamani suti zinawenyewe kushoto ni Joseph Raphaely ,na kakayake katika na mmoja wa wadau wa mtandao huu.
Stiven Joseph akiwa na mchumba wake Paskaria Robart anayesoma katika chuo cha Sauti cha Mwanaza wakiwa katikapicha ya pamoja wapendanao hawa wanategemea kufunganga ndoa hivikaribuni,wadau wa mtandao wa pwani raha tunawatakia maandalizi mema.
No comments:
Post a Comment