Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

March 11, 2010

aksante dada kwa kunipa zawadi ya gari hili

Kutoka kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dinaflowers Dina Bina akiwa na ndugu zake baada ya kumkabidhi zawadi ya gari aina ya Benzi kaka yake Jemes Yonazi wa Tatu kutoka mkulia akiwa na mkewake Adela Alice wa pili kutokamkulia mwisho kushoto ni mtoto wa Dina, sherehe hiyo ilifanyioka katika hoteli ya CITY Galden iliyopo jengo la Benjamini Mkapa posta ikiwa imeandiliwa na wafanyakazi wa FAO. AMBAO WALIKUWA WAKIMPONGEZA YONAZI KWA KUSTAFU KAZI NA KUANZA MAISHA MAPYA.

Jemes Yonazi ambaye alikuwa mfanyakazi wa FAO akiwa na mkewake Adela Alice wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupewa zawadi ya gari la kisasa aina ya Benzi na Dada yake Dina Bina ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Dina Flowers iliyopo namanga Dar es Salaam.

MKurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Mjai na Umwagiliaji Eng.Gabriel Kalinga kulia akiteta jambo na mama Louise Setshweqelo wakati wa sherehe za kumuuaga mfanyakazi mwenzao aliyestafu Jemes Yonazi katikati ni mke wake Adela Alice