Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 18, 2010

Sheria ya Somalia Huko.

Mhukumiwa wa uzinifu akitayarishwa kupata adhabu yake. Kwa wale wasafiri jamani mkienda Somalia fuateni lililowapeleka na sio mengineo, huku hakuna cha player wa kijogoo mambo ni "Hamsa Swallat" kwenda mbele.

Mshtakiwa akiwa "ready" kwa adhabu.
Kipigo ni cha nguvu sana.
Kwishnehi.
Ndio hali halisi.

2 comments:

Anonymous said...

Mob Justice. kwa kweli a country with no government what do you expect.

Anonymous said...

kwahiyo ni bora kuua kuliko kuzini