Pichani ni Askofu Kakobe wa kanisa la Full Gospel Mwenge.
Wafuasi wa Askofu Kakobe wakiwa katika ulinzi mkali leo mchana saa 7 baada ya mafundi wa Tanesco kuja kutaka kuweka nguzo za umeme mkubwa , wafuasi hao wapo kwa zaidi ya miezi 3 kulinda nyaya hizo zisipite eneo la kanisa la Full GospeL Bible Fellowship, leo maskari walifika katika eneo hilo.
6 comments:
Asante kwa habari motomoto kwa njia ya picha Mkuu.
Jamani ndugu zetu wa FGB wanauabisha ukristo. MIMI NI MKRISTO. Umeme ni maendeleo na ni kwa faida ya wengi. Waelewe hayo ndiyo madhara ya kujenga karibu bna barabara hata kama utakuwa ktk maeneo yako halali tegemea lolote kukupata.
Watu wameshavunjiwa mara kadhaa mfano ni huu wa Kipawa.TUTAISHANGAA SANA SERIKALI ISIPOTIMIZA KUTEKELEZA MIPANGO KISA FGB WAMEKATAA, MJU NA WENGINE HAWATAKUJA KUKUBALI.
Kwani umeme hauwezi kupita sehemu nyingine mbali na hapo?
hao wapelekewe ffu tu waone kazi yao.
wewe mdau unaehoji kuwa kwani hakuna sehemu nyengine inaonekana hujui unalosema.basi kajenge brabarani kisha uhoji kwani bara bara haipiti kwengine?
hao wapelekewe ffu tu waone kazi yao.
wewe mdau unaehoji kuwa kwani hakuna sehemu nyengine inaonekana hujui unalosema.basi kajenge brabarani kisha uhoji kwani bara bara haipiti kwengine?
i bet some of this women hizo nguzo za umeme are either passing in their homes, their work premises, their kids schools etc. Now i wonder, what is important to them. kuwa illiterate ni mbaya sana
Post a Comment