Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 1, 2010

Jerry Muro Aeleza Upande wa Wake wa Stori.

>
Mwandishi wa habari Jerry Muro anayetuhumiwa kuomba rushwa aeleza upande wake wa stori.

3 comments:

Anonymous said...

tumeshachowa na kesi za kutunga kwenye hii nchi!!!
this thing is all NONE SENSE!!
SHAME ON POLICE FORCES AND THE LIKES!!!
u gota stuff to do insteady of this shit thing!!!
majambazi kibao town hapa mmeshindwa kuyakamata,mnabaki kutungia watu kesi, au kwa vile jamaa huwa anawafichua jinsi mnavyokula rushwa hadharani mabarabarani huko ndio maana mnaamua kumpikia kesi!!!
ikamateni mizee ya vijisenti huko sio waandishi wa habari!!!!!

Anonymous said...

ni kweli kabisa this is very bad.

Anonymous said...

wWATU WENGINE BWANA,WANAONA MAJI YANATAKA KUZIDI UNGA WANACHOKONOA PASIPO CHOKOKONOKA,HII STORI NAONA KAMA IPO MAHALI PAKE YAANI KAKA JERRY NDIO KAMA WAMEMTIA FUNGUO,ITAFAHAMIKA TU ,YANI POLISI WAKO SAHANI MOJA NA MAFISADI,yaani ingekuwa ruksa kutukana ningetukanasana coz vitu vingine vinauzi sana hata kama hujatendewa personal