Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

August 28, 2009

Soko la Tandale

Soko la Tandale uchafu wazagaa kama kawa,wananchi wako hatarini kupata magonjwa,
Mapipa ya kuwekea uchafu yakiwa yamejaa na kusababisha barabara kuziba kiasi cha kuwafanya wapita njia kushindwa kupita kutokana na harafu mbaya inayotokana na uchafu huo.


No comments: