Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

August 28, 2009

Pengo Wakemea Ufisadi

Kardinali Polcarp Pengo aliwasha moto kwa wanaojifanya wanapambana na ufisadi, kama kweli wanapambana na ufisadi, mbona mafisadi wanazidi kuneemeka huku wananchi wakifa njaa. Je ni kweli kelele hizo zinazopigwa kila siku zinatoka moyoni mwao au ni wao kukosa nafasi zitakazowafanya wawe mafisadi.

Usemi huu unamaana sana kwa watu wanaojifanya wanasaidia jamii huku wafanyakazi wao wakihangaika na njaa. Hayo aliyasema juzi wakati wa mazishi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza Anthony Mayalla.

No comments: