Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 23, 2009

KILWA ROAD

Daraja la mto Mkizinga lililopo katika barabara ya Kilwa Mtoni likiwa katika hatua za mwisho ambapo kwa sasa limeanza kutumika. barabara hiyo inajengwa kwa hisani ya walipakodi wa Jamuhuri ya Japani

2 comments:

Simon Kitururu said...

Afadhali liko katika hatua za mwisho!:-)

Anonymous said...

I dont believe that,Obama has credibility.Sikatai kuandaa na mtu but kusoma mmmh!.