Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

October 16, 2010

MTANZANIA AMEIBIWA GARI LAKE NAKUONEKANA KATIKA HALI MBAYA , ANAWAOMBA MSAADA WENU NDANI YA WASHINGTON DC.





Mtanzaia mwezetu anayeishi jijini maryland, anaomba msaada wenu kwa kuibiwa gari lake, na kuonekana katika hali ya kutatanisha. Jana asubuhi Oct,13/2010 wakati anatoka nyumbani kwake kuelekea katika mihangaiko ya kilasiku, ndipo alipoikuta gari yake yaipo.  Akafuata sheria kama kawaida na kupiga simu polisi. 

Bada ya muda wa masaa matano. Polisi wa washington Dc walipotoa habari ya kwamba gari lake limeonekana katika mitaa ya Jeffeson St Ne. Washington Dc. likiwa limepata ajali ya kugonga yumba ya mtu, na watu wasiojulikana. Gari hilo ambalo halina fullcovered, walilivuta na kuliweka katika sehemu ya kuhifadhia magari yalioibiwa.

Kwahiyo tunaomba mtumsaidie ndugu yetu, ambae kwa sasa hana uwezo wa kulitengeneza gari hilo ambalo linagharimu kiwango cha $1.200. kwa mategenezo, na kulikomboa katika sehemu hiyo lilipohifadhiwa. Tujitahidini kumsaidia mwezetu kwa sasa yuko katika hali mbaya ya kuchanganikiwa, bila hata kutarajia kama yangelimkuta. Haya ndiyo mambo ya kusaidiana na sio mpaka afee mtu. ndio kupitishwe michango. Kama kisa cha mama mmoja Bongo alietakakuza nyumba ili aigombowe maiti ya mwanawe aliofariki ulaya ..!!  

Kwa kuwasiliana nae piga simu number.
(202)421-0313 .... (301)728-3977 Account number 4460-2054-7233 BANK OF AMERICAN
Na tutashukuru kwa ushirikiano wenu kwa jamii yetu hii ilitukabili katika kipindi hiki kigumgu. Ahsanteni. Soma zaidi  

7 comments:

Anonymous said...

Ahhh jamani unanunuaje gari bila ya kuwa na uwezo wa kuliwekea bima??? Gari ni muhimu kwa mwenye uwezo kama huna uwezo tumia usafiri wa jamii kama mabasi na tarin. Haya ona sasa unataka watu wakuchangie kwani ulipoamua kununua uliwaomba wakushaurk?? Unalo hilo shoga!!!!!

Anonymous said...

Ngoma yako mwenyewe, jikakamue huo sio msiba tafuta au fanya kazi mbili ili ujitengenezee gari yako.

Anonymous said...

...Gari hilo ambalo halina fullcovered...

=> What????

...kiwango cha $1.200. kwa mategenezo...

=> Yaani hana dola 1 tu na senti 200 za kulitengeneza???

Acheni upuuzi wenu hapa. Yaani mnataka sasa tuanze hata kuwachangia kulipia upuuzi wenu. Kama maisha yamewashinda, rudini nyumbani. Pambafu

Badi John said...

Wera weraaaaaa.... nimefurahishwa na comments zilizotolewa jamani huku nyumbani Bongo hali si shwari watoto yatima wanazidi kuongezeka siku hadi siku kama mnazo pesa nyingi basi lete huku muwasaidie watoto yatima jamani chonde chonde... manake sasa itafikia siku watu wataomba wachangiwe ili wajenge na nyumba sasa...!!!

Anonymous said...

Lete stort Kama kisa cha mama mmoja Bongo alietakakuuza nyumba ili aigombowe maiti ya mwanawe aliofariki ulaya ..!!
Tuhadithie vizuri story hiyo umeitoa wapi? au blog gani tufahamishe ili tufuatilie...

Anonymous said...

steph curry shoes
yeezy 350
off white outlet
curry 7
jordan shoes
kyrie 6 shoes
travis scott jordan
off white outlet
hermes birkin
yeezy

Anonymous said...

supreme
fear of god essentials
off white outlet