Pages

October 19, 2010

Harusi ya First Kalugaba na Bi Hadija Yafana Sana.

Hapa Bw First akikata keki na mkewe Bi Hadija huku wapambe wao wakiwaangalia kwa karibu.

Maharusi hao wawili wakiserebuka.

Bwana harusi akiwapungia waalikwa mkono.
Bi Rachel Mushi akifungua champaign kwa uhodari na pozi la aina yake. 


4 comments: