Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 16, 2010

KCB (T) Waandaa Iftar Kwa Wateja Wake Wa Zanzibar.

Mkurugenzi mkuu wa KCB Bw Joram Kiarie akionge katika ghafla iliyoandaliwa na benki yake kwa wateja wa akaunti ya Amana tawi la Stone Town Zanzibar. KCB ni Benki ya kwanza Tanzania kuanza kukopesha katika mfumo wa kiislam kwa kutumia dirisha la mkopo wa Murahaba.

Wafanyika wa KCB (T) kuanzia kushoto ni Clara Sanda, Austin Makani, Edna Sempeho na Mshangamo katika ghafla hiyo.

Meneja wa Mauzo wa Amana Bw Athumani Uzairu akiongea katika iftar hiyo.

Wateja wa KCB Zanzibar wakijisaidia kadiri wawezavyo.

No comments: