Pages

June 13, 2010

Miss Pwani yawa gumzo Kibaha jana usiku

Mmoja wa washiriki wa shimdano la Vodacom Miss Pwani akiwa katika Vazi la Usiku shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa Conterner Kibaha usiku wa kuamkia leo.

Mshindi wa Vodacom Miss Pwani Zaimab Ally akiwa katika vazi la Usiku kabla ya kutamgazwa kuwa mshindi wa shindano hilo liliwashirikisha warembo kumi na Tano.

Baadhi ya washiriki waliofanikiwa kuingia katika nafasi ya Tano Bora.

1 comment: