Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni inayoileta timu ya taifa ya Brazil ya KENTARO GROUP Philippe Huber katikati akiwakabidhi wanafunzi wa shule ya msingi ya Ndugumbi Mpira wenye nembo ya United Ageainst Malaria ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha mapambano ya maambukizo ya Maleria hapa nchini, pia Kampuni hiyo imewalipia wanafunzi kumi wa shulehiyokwenda kushuhudia mpambano huo kati ya Brazil na Taifa stars utakaopigwasiku ya Jumatatu jioni.(kushoto) ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Leodger Tenga.



Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Ndugumbi iliyopo Magomeni wakifurahia baadhi ya mipira waliyopewa na kampuni ya Kentaro

No comments:
Post a Comment