HII NDIO RAHA YA KUWA NA FAMILIA; Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akiwa na familia yake mkoani Mbeya (katika) mtoto Sharon Mwakifulefule na Mke wake Mrs Mwakifulefule aka Doty wakiwa katika picha ya pamoja hapa.
Kwa raha zao wakiwa Mr & Mrs Mwakifulefule wakiwa na mtoto wao mpendwa Sharon katika matembezi yao hapa ilikuwa katika eneo la Njombe Mkoani Iringa katika barabara itokayo Dar es Salaam kuelekea Mbeya hadi Zambia ,Malawi na Afrika Kusini.
Baadhi ya maroli yakiwa safrini hapa ni eneo la Ilula Iringa.
Gari la mizigo likiwa limeanguka baada ya kushindwa kupandisha mlima Kitonga uliopo katika eneo la mkoa wa Iringa katika barabara ya kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya.
No comments:
Post a Comment